Duration 2:16:20

LIVE: RAIS SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI HALI YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI NCHINI

13 145 watched
0
50
Published 15 Dec 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Desemba, 2021 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi Nchini utakaofanyika kayika Ukumbi wa Hazina, Jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 0