Jinsi ya ku-update apps kwenye Google Playstore
Jinsi ya ku-update apps kwenye simu za android
Ku-update apps ni jambo la muhimu kwa watumiaji wa smartphone. Kwasababu kunakuwa na maboresho yanayofanywa na watengezezaji wa apps hizo. maboresho ambayo yanaweza kuwa mabadiliko ya matoleo ya app kutoka toleo la zamani kwenda toleo jipya /au maboresho madogo madogo kama kuondoa matatizo yanayojitokeza kwenye app hiyo, au kuongeza baadhi ya vipengere kwenye app.
__________________________________________
Ijue Smartphone Yako!!!:
/playlist/PLMzOZpqFH_GuSDSAbKhPvMvt7orXiSHaF
Ijue Kompyuta Yako!!!:
/playlist/PLMzOZpqFH_Gtka0X7dfBZPntR6fRznocj
All Tz Eleven's Videos:
/playlist/PLMzOZpqFH_GvlKFNhWDj01G03eUSzWR3R
__________________________________________
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
/watch/gZg_8rwhV5ph_
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
/watch/MoamVZbOTufOm
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
/watch/IX9f-sCEwrlEf
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
/watch/oaezN_mbuQubz
Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
/watch/cvsznFaipzwiz
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
/watch/UVt8hIhOwKhO8
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
/watch/0_k68dy2hs026
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
/watch/8qH2GKoO6uIO2
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
/watch/Q9PY2_bgcOAgY
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
/watch/0zaE_JkDjrzDE
__________________________________________
Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!
Jiunge Nasi Kupitia ;-
Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/
Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleven/
Youtube. /c/TzEleven