Duration 6:37

MAGOLI YOTE: SIMBA SC 5-1 ALLIANCE FC; (TPL - )

624 273 watched
0
1.2 K
Published 24 Oct 2018

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wamewaangushia kipigo cha mbwa koko Alliance ya Mwanza kwa kuifunga mabao 5-1 katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenue Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi aliyefunga mawili dakika ya 10 na dakika ya 62, Asante Kwasi dakika ya 30, Adam Salamba dakika ya 70 na Clatous Chama dakika ya 87. Bao pekee na la kufutia machozi la Alliance limefungwa na Zabona Khamis dakika ya 90+3.

Category

Show more

Comments - 292