Duration 1:54

KIKAO CHA KAMAT MAALUM NEC CCM ZANZIBAR KIMEJADILI MAJINA YA WABUNDE NA VITIMAALUM

453 watched
0
5
Published 15 Aug 2020

Leo Tarehe 15/08/2020 Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kimefanyika Kikao cha Kamati Maalum NEC CCM Zanzibar ambacho Kimejadili majina ya wagombea waliopendekezwa katika kura za maoni kwa nafasi ya Wabunge na Viti Maalum

Category

Show more

Comments - 2