Duration 9:44

Mapishi ya wali wa Nazi/how to prepare rice in coconut milk/Swahili recipes

39 865 watched
0
256
Published 21 Jul 2019

WALI WA NAZI ________________ 1.Tui la nazi jepesi 2.Tui zito 3.mchele 4.chumvi 5.samli /mafuta kidogo MATAYARISHO _______________ 1.pima tui jepesi la nazi kiasi cha mchele unaopika 2.punguza kikombe nusu kwa akili ya tui zito 3.pika mchele kama unavopika kawaida 4.ukiwa karibu kukauka weka tui zito na samli/mafuta 5.wacha ukaue na funika ili uive pole pole. 6.Andaa kwa kitoweo upendacho!!!

Category

Show more

Comments - 29