Duration 30:39

TABIA ZA MAFANIKIO

343 969 watched
0
6.8 K
Published 17 Feb 2018

Tabia za mafanikio: Mazoea hujenga tabia, na ni tabia ndizo huchangia kujenga au kubomoa maisha yetu. Katika somo hili tuangalie tabia 10 muhimu za mafanikio ambazo zimeonekana karibu kwa watu wote wenye mafanikio. KARIBU! KUHUSU JINSI YA KULALA VIZURI: Tumia hii website itakuongoza kuhusu ulale na uamke saa ngapi ili uweze kuamka ukiwa fresh. Upate sleep cycles tano mpaka sita kama inavyotakiwa: . www.sleepyti.me . Zaidi kama utahitaji tangazo au kukodisha studio ya radio kwa kutengeneza vipindi vya radio (kwa hadi watangazaji watatu on-air, kupata muongozo juu vipindi, demo, training nipigie katika namba (+255)759191076 au tuma email: ezdenjumanne@gmail.com . KARIBU SANA. . #Tabia #Za #Mafanikio

Category

Show more

Comments - 846