Duration 13:15

LIJUALIKALI AIBUA MAPYA MBOWE KAPANDA NGAZI KATELEZA, KAVUNJIKA, HIVI WANAUME WAKUKANYAGE UINUKE

131 176 watched
0
1 K
Published 9 Jun 2020

Category

Show more

Comments - 1165
  • @
    @hazibonplatformafrica96174 years ago " if you stick a knife in my back nine inches and pull it out six inches, there' s no progress. If you pull it all the way out, that' s not progress. . ...Expand 4
  • @
    @eyumededu29484 years ago Kuna mamb kuyaelewa inahitaji akili kubwa
    mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania .
    22
  • @
    @profgeofreysevelinenyalale94544 years ago Mtanisamehe wabunge wa tanzania kiukweli amsitahili kurudi kuwakilisha wananchi bali mnatakiwa kuwa mawakala wa kishetani, jifunze kwa kiongozi wa nchi . ...Expand
  • @
    @justineoctavian49384 years ago Aise! Mungu atusamehe sana, yan watu wanacheka, wana furahi kabisa! Duuh kazi sana! Waziri mkuu naona anafurahi kwa aibu!
  • @
    @salmadalaquimane23644 years ago Wallah nme pata taarifa ya mbowe leo nli ona kabisa kuna mchezo. 10
  • @
    @benwater49574 years ago Yaani wabunge wa ccm including huyu juakali wamekuwa na roho mbaya ya ajabu. Hawana aibu, ubinadamu umewatoka. Wamesahau nchi hii ilijengwa kwa misingi . ...Expand
  • @
    @onesmopaulmwacha5664 years ago Sisi wananchi tunamkubali sana rais na tunamuombea mno. Na acha nawaambie hatuhitaji watu kama nyie kutufanya tumpende rais. Rais tunampenda kwa kazi id="hidden4" zake. Binafsi sikumpigia kura rais 2015 lakini 2020 kura yake iko wazi kwangu. Na wala sio kwa ajili ya maneno ya kipuuzi na kinafki kama ya wewe. Jua lipole. Namuomba raisi asiwape madaraka watu kama wewe. Chadema ndio imekuibua shimoni leo unaiponda. Je ukihamia upande wa pili hutafanya usaliti. Rais wetu awe makini na watu kama hawa. ...Expand
  • @
    @georgesumari20714 years ago Njaa mbaya sna kweli brother hongera umefanikiwa sana.
  • @
    @zenamshana68524 years ago Du lijua likali kiboko hongera sana tumekuelewa. 2
  • @
    @tinyaanosiatha11184 years ago Spika umenichekesha. Sana uko vizuri good job.
  • @
    @sikalionrwabona3054 years ago Nimempenda sana lijua likali huu ni uzalendo wa kutokainajengwatuache ushabiki wautasimama siku zote na kauweka bayana. Taka.
  • @
    @amotowntz63814 years ago Kweli hili ndo jua kali tena la utosini, pole kaka.
  • @
    @wlisonjoston70884 years ago Jualikali mwogope mungu haya ni maisha tu. Kesho yetu hatuijui kama hauna cha kuchangia kaa kimya wala sio dhambi. Kumbuka mwenzio anaugulia maumivu. 8
  • @
    @asantielngowi12694 years ago Safi sana mheshimiwa wanachezea nchi hao.
  • @
    @the_white_43.4 years ago Tunakushukuru sana kwa maneno yako ya kikuma bungeni.
  • @
    @stevenngomele36044 years ago Umekuwa kama wao kabisa!
    na unaweza kuwapita!
    2
  • @
    @williamsamwel8494 years ago Lijualikal mungu anakuona leo upo ccm unawatete kwa maovu wanayofanya kumbuken kuna maisha njee siasa usifikili wotehawana akili km ww no mnapokuwa mnazungumza muwe mnachambua pumba na mchele mi sio mwanasiasa no maoni tusitafutane. ...Expand
  • @
    @owennakai70334 years ago Duh! Walichokitaka hawajakipata chadema chama cha mafisi. 1
  • @
    @ahmedalbalooshi85184 years ago Hii ni kama ile story ya acqulina.
    huyu mbunge asema kateleza ngazini alipokuwa akipanda ngazi.
    apeleke huo ushahidi ili kesi iishie hapo.
    5
  • @
    @jmwaka93164 years ago Mungu anakuoana kijana, mungu huwa anaweka akiba.
  • @
    @basilking59644 years ago Mungu anakuona malipo ni hapahapa duniani
  • @
    @mamaedson71794 years ago Mungu atakujibu we endelea kuifuraisha ccm.
  • @
    @abdulkareemseif6674 years ago Yani huyu jamaa yakija ya kumtokezea nitainjoy sana. 5
  • @
    @kulwamigo91274 years ago Duh, maisha ya siasa za kinafiki ni taabu sana.
  • @
    @jacksonrabson64394 years ago Lijualikali ongea ukweli kaka nilijua utatuambia ukweli kuhusu hili. 18
  • @
    @gideonkalumbu26034 years ago Mungu pekee ndiye ajuaye ukweli wa haya yote, sitahukumu yeyote maana ni watu na watu hawa ni wanadamu.
  • @
    @agnessmsacky66574 years ago Mungu pekee ndiyo mlinzi wetu hakuna binadamu yoyote akawa mlinzi wamwenzie hata awe bodigadi waaina gani mungu akisema nono hakuna anayepinga kwa hiyo . ...Expand
  • @
    @barakaellyimo2304 years ago Wanasiasa wapuuzi sana ndo bunge la 2020. 7
  • @
    @THEINTENT.14 years ago Safi sana mheshimiwa lijua likali tunaitaji watu kama wewe, sasa hivi tunaitaji watumishi na viongozi wahaminifu na wa kweli na sio walaghai.
  • @
    @mangenyanyondo73574 years ago Mmmmh jamanii nawewe unasema mbowe ndio kakusaidia ayabwanaa.
  • @
    @dubledublecepte86804 years ago Hapa nakumbuka ule usemi wamaji haishi. 12
  • @
    @castorymwaipopo2904 years ago Mmh? Kijana anako elekea sasa anapotea ila akiba ya maneno muhimu namkumbusha 2. 17
  • @
    @DARAJANI_TV4 years ago Aisee mbowe kawaweza hadi president kaenda kumuangali kweli nyie mazuzu mnazugwa mnazugika big up mbowe.
  • @
    @halimaikera76294 years ago Mugope mungu siasa na uhai ni tofauti kulewa hajanza jana nawewe unamhukumu kama nani mugope mungu nawewe nikilema mtarajiwa chunga ulimi wako usije ukakuhukumu mwenyewe unatafuta uwaziro sio kwenye uhai was mtu.
  • @
    @markhenry61764 years ago Sasa tunajadili ya uvamizi wa mbowe? Je la corona mbona mlilikata! 11
  • @
    @godfreymbembela3294 years ago I pray to god lijualikakali uwe sahihi maana siku utakayoonekana umedanganya hakika itakuwa aibu yako ya mwaka. Na malipo huwa ni hapahapa akiba ya maneno ni muhimu.
  • @
    @bonifacedeo36854 years ago Pole sana kijana naona umekuwa na taarifa nzur ya kusaidia police.
  • @
    @naamanibasso634 years ago Mungu a nakuona we kichwa nadhani inaisha uwezo wa kufikiri. 6
  • @
    @saidawadh95264 years ago Bunge la ajabu sana mnaacha kujadiliana majukumu ya wananchi na maendeleo, mnaleta story za maisha ya mtaani na kumjadili mtu mmoja, ingekua watu wanalipa viingilio kama lango la jiji kuja kuskiza mngekula hasara kila kikao. ...Expand
  • @
    @mosessabugo36304 years ago Haya bhana naona umekua doctor na umekua police bhana. 1
  • @
    @hamisimweta45054 years ago Nina imani hawa wabunge huko kwa mungu watakuwa kuni zetu kwanza kwa kweli. 36
  • @
    @johnmligo69664 years ago Love you br ukweli utatuweka huru injili ya yohane
  • @
    @jobcharlz22754 years ago Mungu akulaani we bado kijana naamini mungu amesikia maneno yako. Ukimwombea mwenzako mabaya ipo siku yatakukuta na wewe. Ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga.
  • @
    @jacksnow29214 years ago Hakika ww hata tanzania unaweza kuiuza kwa maslahi yako hufai hata kidogo. 6
  • @
    @jullyjay10584 years ago Aise. Huu mwendo unaotembeakama ni mwendo mzuri.
  • @
    @BenWerner25304 years ago Leadership qualities
    1. Honesty and integrity
    chadema sidhani kama ipo hiyo.
    1
  • @
    @saidsaid-if8wv4 years ago Ccm zanbar wanamakund yavijana mazombi wapo kwenye makambi yavikosi vya smz kazi yao nikupiga nakuteka ccm niwashenz wanasiasa chafu na zakijinga zisizo natija kwataifa. 5
  • @
    @spymc62524 years ago Kweli akili ni nywele naona una palaa
    umeshasahau ulisota jela mbowe na chama chake walikutetea kuwa na ubinadamu bhs hata kama kweli.
    6
  • @
    @donaldshadrack31864 years ago Saa zingine siasa za kitoto zinalitia aibu sana taifa. 33
  • @
    @naimaseleman68684 years ago Ni kweli mchana wabajiweka karantine corona usiku mabaa kupanga mbinu ya kusaliti nchi yetu hawako salama wataumbuka ogopa taifa linalomtegemea mungu analipa ulinzi hawatabaki salama wataumbuka.
  • @
    @aliebrahim94234 years ago Jamaa ni msanii kweli, yaani hawa watu walikuwa wanapinga serekali ila leo ndio anaopongeza serekali ile. Duuh! Angalia leo anachokisema. 30
  • @
    @yassinnmdaki10974 years ago Mbowe ukipona, ukoka haraka sana maisha ya unafiki yanawaponza chadema.
  • @
    @humphreymkony89154 years ago Mh lijualikali, umesahau riwaya za shaban robertmwanzoni" 32
  • @
    @isaacsengunda30994 years ago Jipendekeze sana, lakini ccm itakutengeneza tu, hapoiko siku utajutaga tu,
    ila hapo huenda unadhani unatengeza kumbe unajionesha udhaifu wako wa kutokua mstahimilivu katika mambo ya ki intelijensia,.
    ...Expand
  • @
    @hamisimweta45054 years ago Hili bunge kwa kweli ni hovyo! Hivi kweli huyu analipwa kutokana kodi zetu kweli! Inaniuma sana. 16