Duration 21:56

Rais Magufuli aagiza kusitishwa utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa Machinga mkoani Mwanza.

47 580 watched
0
163
Published 6 Dec 2016

Rais John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri na Katibu Mkuu (TAMISEMI) juu ya kusitisha mara moja utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo "Machinga" katika Jiji la Mwanza mpaka mamlaka husika itakapokamilisha maandalizi ya maeneo watakapohamishiwa.

Category

Show more

Comments - 40
  • @
    @umranim58547 years ago Wasaidie baba wanyonge na mungu atakusaidia mungu amesema mtizame wa chini na wa juu atakutizama wewe watu wakiwa na kazi wataacha wizi mungu ibariki tz. 2
  • @
    @dativadaud43003 years ago Baba, tukupate wapi! Natamani ufufuke! 2
  • @
    @jeremiasirong69027 years ago Safi san mheshimiwa raisi, wew ndo rais tuliyekuwa tunamhitaji. 1
  • @
    @masubifaustine77167 years ago Mungu akujalie halo umenena ila kwa bashte bado cjackia.
  • @
    @umranim58547 years ago Uliwapa amana na amana hawajui kuitumia cheo ni dhamana wambiie baba hongera sana. 1
  • @
    @mamymamy89717 years ago Yani raisi magu nakupenda mpaka nasikia kizunguzungu wewe ndio mtetezi wawanyonge mungu akulinde na fitna za maadui akupe umri mrefu na afya njema. 1
  • @
    @abdallamabrouky3408 years ago Mungu akubariki raid. Wetu mpendwa
    e.
    2
  • @
    @omarymbalala62247 years ago Kwamara yakwanza umeongea jambo ambalo kila mtu limemfrahisha. 2
  • @
    @suleimanhussein14877 years ago Namkuli sana raisi wetu makufuli chapa kazi baba na m, mungu atakupa nguvu cjapata kuona raisi km makufuli ni hodari sana tuko nyuma yako raisi wetu kipenzi unaojali wanyonge.
  • @
    @rahyaomari82118 years ago Nampenda sana rais wangu mungu akupe maisha marefu. 2
  • @
    @petermoshi318 years ago Raisi magufuri uishimaisha malefu kwa kutetea wanyonge . 2
  • @
    @zuuniece66357 years ago Leo umenena pk nimekuelewa bgp kwako mkuu.
  • @
    @allexlunny77957 years ago Umeongea kweli mkuu maskini tunakutegemea. Karibu na mikoa ya nyanda za juu kusini useme neno.
  • @
    @mwemezibarnabascharles54127 years ago Naanza kuamini kuwa washauri wa makubwa ni wanafiki na wanampotosha mkuu chungulia elimu na mpango wa madawati.
  • @
    @mariamhadija72368 years ago Tuna kuombea raisi wetu uishi miaka 10 wew raisi wa wanyonge wew ndy mkombozi wetu. 3
  • @
    @aminaamry22527 years ago Kweli baba nimekuelewa vizur wee ni tais wawa nyonge lakin bado muheshimiwa tunaomba utamke juu ya vyet hewa maana kuna watu wamefukuzwa kazi ikiwa majukumu . ...Expand
  • @
    @habiba00227 years ago Baba kumbe unawaona naunalijua kwa nn uwatumbui ee wafukuze kazi viongozi maboya ww umcheleweshi mtu fukuza hao.
  • @
    @abdallamabrouky3408 years ago Mh rais viongozi wengi wa kuteuliwa pamoja na wawakilishi nahata wananchi wengi hatuna uwezo waubunifu kwamfano. Mkoa wa t aborasoko lakisasa maamuzilililopo walijenge upya. Ajabu mji wataboramiundo. Mbinu. Ambayo ipotayarimh. Tunaongezabadala. Yakuongeza vituo. Vingine vyamapato. Baadhi. Yawamachinga. Nao wapatemeza zakuuzia sektarais tunaomba i living alien a hill. ...Expand 1
  • @
    @joashnyabange88308 years ago Yaani baba wewe ni bosi kabisa una maamuzi ya kuridhisha ila tunakupenda sana tena sana ila waziri wa elimu arekebishe kauli, nini maana ya elimu haina . ...Expand 1
  • @
    @renaldakamugishazeramulake9408 years ago Mh. Rais maamuzi yako ni mazuri lakini hukuwatendea haki wawakilishi wako tz. Nzima.
  • @
    @HassanHassan-sn5cj7 years ago Kwakweli ilikua maamuzi mazuri kama wanyonge wanathaminiwa kwakiwango hicho aidha nikweli tumeshuhudia maeneo mengi mi mwenyewe ni mchimbaji mkigundua . ...Expand
  • @
    @josephtarimo78427 years ago Kiongox nakuomba mwendoe bashite kilasiku tunatekwa kwanini. 1