Duration 6:36

JAMAA Aliyejifanya 'MCHUNGAJI' Alivyokamatwa na Madawa DAR

34 509 watched
0
108
Published 23 Apr 2019

JAMAA Aliyejifanya 'MCHUNGAJI' Alivyokamatwa na Madawa DAR! KUFUATIA Kukamatwa kwa Mtu mmoja raia wa Lativia, Linda Mazule, aliyekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa kilo tano.... Kituo cha kupambana na Dawa za Kulevya nchini, leo Aprili 23, baada ya kufanya uchunguzi wa kutosha wakishirikiana na jeshi la polisi limeelezea mchezo mzima ulivyokuwa ambapo wamebaini Raia huyo wa kigeni alikuwa akishirikiana na wenzake..... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho Category News & Politics

Category

Show more

Comments - 69