Duration 15:26

Ebitoke, Bwana Mjeshi kama Diamond, kuzindua filamu yao Kenya

38 055 watched
0
302
Published 21 Mar 2018

Kundi la Timamu ambalo lina wakali kibao kwa upande wa uchekeshaji kama Ebitoke na Bwana Mjeshi wanatarajia kuachia filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Sema nchini Kenya. Uzinduzi huo utafanyika mwanzoni mwa June mwaka huu. Wasikilize hapa.

Category

Show more

Comments - 69