Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yanayoisumbua jirani kwa kiasi kikuwa. Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete (JKCI) kupitia kwa mkurugenzi wake, Profesa Mohamed Janabi inakuletea baadhi ya dalili za ugonjwa wa moyo.
@suzanejeremiah34633 years agoLoh, mwenyezi mungu tutie nguvu, kumbe. 3
@
@happykundael7706last yearAsant sana doctor lakin mim nina swali je kuhc kam kichom kinakuchom kila mahal kinawez kikachom juu ya bega au mgongon au mguun au kifuani tatizo linakua nin.
@
@happymlwilolast yearNaomba namba yako ya cm inashida ya moyo natumia dawa lakini hakuna unafuu nisaizie doctor. 1
@histonyezekiel42144 years agoMm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu. ...Expand1
@
@aishafrancis771410 months agoNaombeni namba ya huyu doctar nina mgonjwa ana hali mbaya.
@
@zakayozakayo36972 years agoMim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim, nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa san sijajua. ...Expand
@
@ivyrehema32463 years agoSamahani navipi kuhusu kufura chini ya ziwa la kushoto nakuuma.
@
@makuyunitvshow25293 years agoDoctor moyo wangu unaenda mbio mpaka kuna mda nashindwa kuhema naomba unisaidie mnapatikana wapi mimi nipo arusha, halafu nikila vitu vya nafuta najiskia vibay sana. 1
@
@mubirupeter21533 years agoAsante sana doctor kwa somo lako ila nina maumivu makali chini ya titi upande wa kushoto sijui inatokana na nini. 4
@
@user-oc8uo9rl3u8 months agoAcheni kutisha watu toeti toeni matibabu watu wafanyeje ili wajitibu sio kuwatisha mkaishia hapo.
@aishaahmed28782 years agoDr. Naomba msaada mtoto wangu wa miaka sita kuna wakati moyo unaenda mbio sana na kuna wakati anasema anahisi maumivu, je anaweza akawa na shida ya moto?
@
@lovederyare67565 years agoDocta me nna swali inakuaje mtu nimenene sana kam mm lakini nikipima presha iko normal hii ni kwasababu gani. 3
@
@thobiaspaul82475 years agoHivi kuna dawa kwa mtu mwenye tatizo la moyo kupanuka na kamaipo garama kuhusu matibabu ni kias gani. 2
@
@histonyezekiel42144 years agoMm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu. ...Expand1
@
@zakayozakayo36972 years agoMim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim, nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa san sijajua. ...Expand
Related videos for AfyaYako: Mtaalam aeleza dalili za ugonjwa wa moyo: