Duration 10:20

Bibi aliyekufa na kufufuka apata Uvimbe mkubwa katika jicho lake | WATU NA MAISHA

2 334 watched
0
13
Published 16 Jul 2021

bibi huyu alizaliwa katika siku ya vita ya kwanza ya dunia na amesahau idadi ya watoto wake anachokijua ni kwamba watoto Wake watatu walifariki, siku moja alikua anakata visiki katika shamba Lake sasa wakati anakata mzizi wa muhogo vimti vidogo dogo vilirukia jichoni mwake na kumuumiza japo ni kidogo, cha kushangaza ni kwamba jicho lilikua linaanza kuvimba kidogo kidogo na hatimaye likaanza kuvimba na hatimaye jicho likavimba kama hivyo unalo liona, inasikitisha sana

Category

Show more

Comments - 5