Duration 3:9

JINSI YA KUPIKA KACHORI

16 372 watched
0
60
Published 5 Jul 2020

karibu katika channel ya mapishi na Amanda, leo tunapika kitafunwa maarufu kinachoitwa kachori mahitaji yake viazi kitunguu karoti hoho pilipili kama utapenda kuweka chumvi limao mafuta ya kukaangia unga wa ngano kidogo rangi ya chakula yoyote uipendayo kuweka mvuto wa kachori zako kachori unaweza kuzila kama snacks au hata ukafanya breakfast asubuhi, kama ni mara yako ya kwanza kuangalia katika channel hii, basi usisahau kulike, kuacha comment yako hapo chini na bila kusahau kusubscribe channel yetu ili uwe wa kwanza kuiona video pale inapowekwa, kuna mengi ya kujifunza katika mapishi. karibu.

Category

Show more

Comments - 3