Duration 12:42

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

354 481 watched
0
1.1 K
Published 29 Jun 2017

Jana miswada mitatu inayohusu madini ilisomwa bungeni kwa mara ya kwanza jana. Miswada hiyo iliwasilishwa kwa hati ya dharura kama ambavyo Rais Magufuli aliliomba Bunge lipitie upya sheria na mikataba ya madini. Bunge pia limeongezwa muda hadi July 5. Wakati anapokea ripoti ya pili ya Kamati Maalumu ya Uchumi na Sheria kuhusu Taarifa ya Makinikia, Rais Magufuli aliliomba Bunge kupitia upya sheria na mikataba yote ya madini na gesi ili kuiepusha nchi kuingia katika mikataba mibovu. Baada ya kuwasilishwa kwa miswada hiyo jana, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema) aliomba mwongozo wa Spika, ambapo aliliomba bunge kuondoa hati ya dharura ya kujadili miswada hiyo. “Muda mfupi uliopita tumekabidhiwa ratiba ya bunge, serikali inaleta miswada mitatu kwa hati ya dharura, mwaka 1997 mikataba ya madini ilipitishwa haraka haraka, mikataba ya ngesi hivyo hivyo, “Kazi ya bunge ni kutunga sheria, sisi ndio wawakilishi wa wananchi, kwa umuhimu wake na maslahi kwa wananchi, sisi wawakilishi tulitakiwa kukutana na wananchi, hivyo ni bora ikasomwa leo kwa mara ya kwanza na hati ya dharura ikaondolewa na kuletwa bunge lijalo. “Kwa maelezo uliyotoa wadau wataitwa kwa short notice wafike Dodoma kujadili, sisi wabunge vile vile, miswada mitatu inaletwa tuichambue. Huu ni mtego kwa kutufanya tushindwe kuishauri serikali kwa kazi yetu ya kibunge”. Alisema Mnyika Baada ya kauli hiyo ya Mnyika aliyoitoa jana Bungeni, leo Zitto Kabwe(Mbunge wa Kigoma-ACT Wazalendo) amepingana na kauli hiyo ambapo amesema Hoja ya hati ya dharura anayoizungumzia Mnyika ni dhaifu kwa sasa. WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

Category

Show more

Comments - 89
  • @
    @allyrashidi44905 years ago Kweli umeongea sanaa alafu wao awaja ata aka awo.
  • @
    @kenjrnganzi4787 years ago Nchi haiwezi piga hatua kwa mwendo huu wa wabunge wa ccm kusema kila kitu ndio. 7
  • @
    @tedystanley88896 years ago Upinzani ndo kila kitu, mungu awabariki sana. 7
  • @
    @filimondeclassic18896 years ago Wapinzani mko makini mno bila ninyi bunge hakuna. 3
  • @
    @allymfangavoo60655 years ago Matatizo yanakuja ayo ni madogo shida zinakuja 2020.
  • @
    @betholuoga93816 years ago Mnyika upo sawa wapizani wamedai sana mikataba mikubwa hususani ya madini ijadiliweimekuwa ikibaki nayo eti ni confidential. Upuuzi. Thank to magufuli amekuwa msaada kwenye rasilimali za nchi. 7
  • @
    @bonabonala76856 years ago Kweli lema upo saws ipo siku kitawaka 2 wanaona wanainchi wajinga wakumbushe yariotokea ivorycoest ya raurent gbabo ccm na mijadara ya sifa2 hayaa. 7
  • @
    @loner_wolf5 years ago Hawa njaa tu. Hakuna mkweli. Wasakatonge watupu.
  • @
    @bustobull10306 years ago Serikali tawala mambo inayojifanyish siku wananchi tukisimama kitaeleka. 4
  • @
    @djjoopitare28186 years ago Daaah najivunia mbunge wangu lemah anaongeaga ukwel mungu amlinde tuu. 5
  • @
    @emmanuelmussa83316 years ago Msigwa yeye anacheeka tu lema akiongea. 1
  • @
    @agneserasto98065 years ago Wananchi hatuwezi kuwaerewa wapinxani maneno matupu.
  • @
    @SamSam-bn8db6 years ago Tanzania kuendelea kiuchumi sahau coz maelewano hakuna hata kwenye ukwel, bungeni ndo mlitakiwa kuwa kitu kimoja ili kuifisha nchi mahali husika, badala yake ndo haya. 4
  • @
    @phineruge34805 years ago Wapinzani wote mko strong, bila upinzani bunge halina watu wenye hoja km wapo ni 20% kwa 100%
  • @
    @itazowanzagi57214 years ago Huyu jamaa waga namkubalisana kwenye siasa duu nahisi ana phd.
  • @
    @user-zl4ch7kz3b6 months ago Tangu nianze kuangalia bunge nilikuja gundua wabunge wa chadema ndio wanatutetea ccm ni vilaza hawajui kaz yao.
  • @
    @hamadshein9356 years ago Naogopa kukomet huyo alocma mmechelewa. Anajijua alifikafikaje hpo. 2
  • @
    @yairoswai95876 years ago Ninahisi upinzani tanzania ni kama watu haramu ila laiti watanzania wangeelea kutafakari faida za upinzani. Wamevumbua uozo kibao kama sio wapinzani tanzania ingekua wapi leo. 5
  • @
    @peninaagustino25497 years ago Upinzani ni wa muhimu sana katika kila eneo maana ni jicho la maendeleo. Ukiuchukia upinzani utakuwa haujui kucheza vita nzuri ya maendeleo. Hata wewe . ...Expand 9
  • @
    @josephnchunga65546 years ago Mpuuzi ninyi mlimkimbiza nairobi mkihofia kuwa hapa inchi watamua ninyi nivigeugeu hamfai kuwa wabunge, unaomba una bwabwaja mbona huna nidhamu ww. 3
  • @
    @freddokuckelmann85026 years ago Hawa jamaa wala hawapigani bungeni? Bunge ni uganda bwana, nasubiri ngumi za wanawake wa uganda tu. Wabunge wetu wana vitambi, ngumi moja analazwa muhimbili miezi sita. 2
  • @
    @ndikumanakalenzo24407 years ago Ila unalo rais la ajabu sna, kama kweli ana nia madhubuti angetoa muda wa kutosha kuanza mapitio ya miswada na sheria zote za madini, na hata ile report . ...Expand 4
  • @
    @evansonyango28783 years ago Tanzania si mtupatie huyu mbunge ata kwa mkopo.
  • @
    @charlzlyimo19827 years ago Wacha waendeelee kutuburuza make watz wengi niwazungu waendelee kutuibia tu. 6
  • @
    @mfaumemohamed87536 years ago Lema boya kweli, kwa maneno yaka inaonyesha kwa wasiojulikana kule kibiti anawajua. 5
  • @
    @agneserasto98065 years ago Wabunge wa wpinzani wizi mmehiba simenti mmehiba zahabu.
  • @
    @joycemosha18986 months ago Jamhuri ya muungano africa duniani ccm bila democrassia hawawezi kukaa bila kuwepo dmc na hawatapata mikpo ya kumlinda na katiba raisi kakiuka katiba na . ...Expand
  • @
    @favouredfreda2835 years ago Lema ni lazima asikilinzwe kwani inaonekana kunauvivu wa kufikiri madhaifu ya utendaji kazi kuleta mabadiliko ya nchi.
  • @
    @juliasmollel51764 years ago Lema umebonga point lakin sasa hao wajinga hawatakuelew.
  • @
    @agneserasto98065 years ago Nyie wapinzani ndo mnatakiwa kuhondoka bungeni hibaki ccm mnaka mnararamika mbona amuhondoki maneno tu. 1
  • @
    @frabomdemwa88805 years ago Ccm ni dhaifu ndio maana raisi ameanza kampeni kwenye ziara za serikali huku akionekana wazi kuwabagua viongozi walio chaguliwa na wanannchi huku akijinasibu ni raisi wa wote upuuzi mtupu.
  • @
    @mariamkalinga26286 years ago Smtupati ng' o ccm mbel mbl kwa mbl. 4
  • @
    @agneserasto98065 years ago Lema tunakataa ni ujinga mtupu we ni mbunge kazi yako mbaya kaxi ya ubunge himekushinda usiwatiahe siku yako ya kwenda jera himefika. 1
  • @
    @abdulkarimjuma67214 years ago Hakika ukisikiliza upinzani huwez kuipenda ccm.
  • @
    @Mbugokilonda7 years ago Chama cha upinzani ndo kila kitu bungeni! Wabunge wa chama cha mapinduzi ni mambulula tu, wanafuata upepo kama bendera. 15