Duration 4:55

WEKEZA PESA ZAKO HAPA (2022) | Ezden Jumanne

77 171 watched
0
1.3 K
Published 12 Apr 2019

Wekeza pesa zako hapa 2022, kwenye maeneo haya katika maisha yako: Mafanikio yanakuja kutokana na aina ya mtu ambaye wewe unakua. Kwa hiyo ili ufanikiwe ni muhimu sana ubadilishe tabia nyingi sana ulizonazo ili kuendana na tabia za mafanikio. Katika video hii tunaangalia mambo kadhaa ambayo ni muhimu kuwekeza pesa ili kuwa aina ya mtu wa mafanikio. Success is what you attract by the person you become - Jim Rohn. 1. Invest in books 2. Invest in courses 3. Invest in yourself 4. invest in experience and knowledge Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com . . #wekeza #pesa #zako

Category

Show more

Comments - 127