Duration 33:1

NILIFUNGWA JELA MIAKA 10 NIMEKUTA MKE WANGU KAOLEWA ANA WATOTO 3,NAJISAIDIA KWENYE NDOO,SIWEZI KUKAA

68 323 watched
0
498
Published 12 May 2020

Category

Show more

Comments - 308
  • @
    @towettcheptoo30474 years ago May the lord have mercy on you and pray hard bro nothing is impossible with god. 5
  • @
    @lailalaila911411 months ago Daah mungu akusaidie kaka utapona tu afu kaka d uwe unatuletea milejesho tunapenda ona maendeleo ya wagojwa wetu.
  • @
    @abdulhalimhumud19174 years ago Dah mungu amjalie afya njema kwa rehma zake na amuondoshee mtihani amen aliekuwa nacho tumsaidie ndugu yetu. 38
  • @
    @gmdecoration60444 years ago Inasikitisha sana kaka davista tunamuombea kwamungu mungu ndio kilakitu pia angeenda makongo juu kwa apostle mutalemwa angeombewa watu wana pona mungu anaweza kaka pole sana. 7
  • @
    @aikamosha56444 years ago Mahakama mungu anawaona! Mwenyez mungu akuponye bro, pole sn. 3
  • @
    @ummuhassan22684 years ago Pole sana kaka allah akupe shifa ya haraka. 2
  • @
    @hamisifereji27694 years ago Da inasikitisha sana hakika mungu yupo na atakisaidia kk.
  • @
    @aminajuma80984 years ago Am speechless, may allah intervene in his situation amiin. 10
  • @
    @nooor11204 years ago Dhulma mbaya jamani
    pole kaka allah atakulipia hapahapa duniani biidhnillah.
    allah akupe afya njema aamiin.
  • @
    @ayunramadhan31044 years ago Subhanallah dhulma mbaya usimudhulum mwenzio maisha tu haya. 5
  • @
    @momymood43414 years ago Jamn pole sana mwenyez mungu akuponye uamke tena. 1
  • @
    @bintiiddy70434 years ago Maskini pole sana kaka mungu akufanyie wepes jaman. 6
  • @
    @lenniefei67104 years ago Inasikitsha sana. Kweli magerezani wapo watu wengi tu ambao wanatumikia vifungo kwa dhulma tu. Inshallah mungu atamlipia kijana tabu mwei huyu. 3
  • @
    @fatmazullu49334 years ago Mmh mi naona nimwachie muumba yarabbi! Inauma mnoo! 9
  • @
    @MariamMariam-jj1uj4 years ago Pole sana kaka kweli umasikini mbaya sana mungu akuponye kaka angu. 1
  • @
    @fatmaalnabhani36094 years ago Pole baba, mungu atakusaidia na pia utalipiwa kwa kila aliekudhulumu. 3
  • @
    @jasminali59214 years ago Subhanallah yarabi jamni hakika dhulma ni mbaya sana pole kaka. 2
  • @
    @danielernest85884 years ago Dah mungu ni mwema utapona ndugu yangu. 1
  • @
    @salminmabrouk95674 years ago Pole sana best m. Mungu atakujalia utapona mdogo wangu na utaendelea na maaisha.
  • @
    @elisanjichanyange54854 years ago Mambo mengine meusi jmn dunia hii mungu atunusuru, pole kaka. 1
  • @
    @hamidaalhabsi85684 years ago Daa una moyo mkubwa mungu akuzidishie kheri na barka na pole sana na ugonjwa utampata nafuu ameen yarab. 5
  • @
    @1lakiisha4 years ago Hissh pole sana kaka please swali kumuomba mungu njia yako ina malipo makubwa. Usimsahau allah mole wetu wa kila dunia mbingu na ardh. 3
  • @
    @khadijajuma14084 years ago Subhana allah
    allah yupo pamoja na ww kaka angu.
    2
  • @
    @juddyfuraha62724 years ago Hey davistar god bless you for hiring this, strori ya kaka tabu yahuzunisha sana, mimi niko nairobi ningependa kumtumia kile mungu atanijalia lakini nambari hiyo haifanyi, kindly tusaidie vile tutakavyo mpa usaidizi wetu. 2
  • @
    @siriyangu47244 years ago Pole allah akupe shifaa maana mmh uyo ni mtihaniutauvuka amen.
  • @
    @blingnetcyber52864 years ago Mungu atamsaidia na aingilie kati kwa kila jambo. 1
  • @
    @ibrahimrukundo30644 years ago Subhanallah myak10jela kisa milion3. 5 amedhulumiwa na wasimamizi waendesha mashtaka. 11
  • @
    @jacksonperfect63024 years ago Daaah pole jamaa yangu mungu yu pamoja nawee. 2
  • @
    @lucygeorgina86564 years ago Dah noma kweli maisha haya sisi wanadamu tunajisahau sana unamsingizia mwenzio unamfunga miaka ten bila uruma wakat hapa duniani tunapita tu dah kaka pole mungu atakulipia tu. Akhera ni mahesabu tu. 1
  • @
    @abbiekale83874 years ago Pole kwa hayoupatilishe jina liwe baraka mwei, wachana na tabu ndio shida zikuaje pia. 1
  • @
    @everlineandeso8224 years ago Pole kaka. Maoni yangu mpelekani hospital kwanza aka anze matibabu nasituone vile tutazaidiana mandugu nikufaana. 9
  • @
    @uwimananadia60664 years ago Pole sana kaka hakika maisha ni safari! Mungu yupo kaka angu na kila jambo hulijua kabla.
  • @
    @hamoodalbusaidi46714 years ago Pole sana. Usichoke kumuomba mungu atakusaidia utapona. Na maisha yako yatakuwa mazuri mungu yupo na wewe.
  • @
    @emmanuelmeela30654 years ago Daa, hii dunia acha tuu, pole sana kaka. 1
  • @
    @rahmaramadhan97734 years ago Daaah jamanii dunia jamanii hi mmmh tumuachie mungu allah akujaalie afya nasiha njema mitihani binadamu tumeumbwa. Yaaallah tupe mwisho mwema. 1
  • @
    @demitrahawkins54574 years ago Ati ameanza maishais there any life to be started here? It' s only god to help this situation haki. 8
  • @
    @shababygirlshambuwa83884 years ago Mwenyezimungu akufanyie wepesi kakaangu. Halafu namba moja mumeikosea kwenye 26 nyinyi mumeandika 24. 2
  • @
    @berthamakortha83874 years ago Yote ni maisha tu pole sana. 10 years sii mchezo. Nisamehe bure. 3
  • @
    @conslatorjossy39514 years ago Pole saana kaka, mungu atakunusuru na hali hiyo.
  • @
    @nurafedrick3784 years ago Angalau leo wanane
    yani dunia hii kuna watu wanafanana nawarabu kuthamini vitu pesa kuliko utu wamtu pole kaka huyo mwanamke kwan alishindwaje kukusubi . ...Expand 1
  • @
    @juliusphabian63364 years ago Davister hiyo namba aliyoitaja na hiyo iliyopo hapo nikama kuna uwezekano. 3
  • @
    @KibamashaMasha4 years ago Mbn namba aliyotaja nitofauti na iliyoandikwa.
  • @
    @swaumujuma63334 years ago Kweli inauma sana pole sana kaka mungu yupamoja nawe utapata nafuu.
  • @
    @angeljasson43764 years ago Pole sana kaka mungu atakufanyi wepesi utapona ila wazazi tujifunze kuwapa watoto majina mazur.
  • @
    @chunaabdullah13334 years ago No ya m, pesa please inauma allah yupamoja nawe kkngu. 2
  • @
    @saadaalmamary83974 years ago Pole kijana allah akuponye ugonjwa wako ila mwizi siku zote hatoagi taarifa.
  • @
    @najatsalummohamed91684 years ago Inaumma sanaaa kaka angu unamaumivu makubwa moyoni mwako hakika allah kakujaalia mitihani mizito nayeye ndie atakaekujaalia mepesi zaidi ya mepesi hadi mwisho wa maisha yako. Amin ya rababl alamin. 1
  • @
    @rosellaabraham134 years ago Rekebisha namba kaka davister. Ni 26 sio 24. 2