Duration 2:49

BABA WA HAJI MANARA AFUNGUKA BAADA YA MWANAE KUTOKA SIMBA HATUMTAKI YANGA

137 668 watched
0
479
Published 5 Aug 2021

Siku ya Jana August 3 2021 aliyekuwa msemaji wa Simba Haji Manara aliita waandishi wa Habari na kuwashukuru wana Simba pia akazungumza mambo kadhaa ambayo yeye akadai kuwa alikuwa akifanyiwa ndani ya Simba na hakuridhishwa nayo, leo AyoTV imemnasa Baba mzazi wa Haji Manara akiwa Dodoma ambapo tumemuuliza kuhusiana na alichoongea mwanae Haji Manara ana mtazamo gani ikiwa yeye ni mwanachama na Mchezaji wa zaman Yanga

Category

Show more

Comments - 149