Duration 7:11

KIBAJAJI Amvaa NAPE: ''Marufuku Kuizungumzia CCM

22 045 watched
0
72
Published 25 Jun 2018

KIBAJAJI Amvaa NAPE: ''Marufuku Kuizungumzia CCM" Mbunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde 'Kibajaji', akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 35
  • @
    @jumamkwanda80316 years ago Upo vizuri mheshimiwa naamini waziri mpango amekusikia. 1
  • @
    @mohamedfogo88206 years ago Kumbe uwaziri mtamu sana
    noma sana.
    1
  • @
    @francesbahati43966 years ago Nakukubari sana jama yangu mungu yuko nawe.
  • @
    @leornaldngaja97496 years ago Wabunge wote wa ccm wangekua kama ww tungekuwa mbali sana.
  • @
    @chrissynguby23326 years ago Kweli vilaza wapoweng nimeona coment zenu.
  • @
    @madukurumwanileles79096 years ago Nakukubali sana mbunge wewe wape vidonge vyao hao wanafiki, kama ccm itashindwa wajiondoe mapema sio kukaa wana dhalilisha chama tu. 1
  • @
    @aggreyandrew62496 years ago Lusinde upo sabihi sana nakukubali sana kibajaji! Nape mnafki sana. 3
  • @
    @angellalisa57396 years ago Yani hawa watu kama wale wanafuz wangu waawali.
  • @
    @casmirmakoye30176 years ago Bado ana bifu la kuenguliwa kisha waliogombana wakaendelea kuwa maswahiba. 1
  • @
    @yassinharuna44186 years ago Chichim nnomaa wazee wa tfg kata funua. 1
  • @
    @japhetmwamlenga70786 years ago Kama vipi nape aondoke tumechoka na unafiki wake raisi ana haki ya kukuteuwa na kukubwaga asilete chuki zake kukizalisha chama. 3
  • @
    @amanabdallah97456 years ago Wasemaji wa ccm wa kwanza ni wabunge wa ccm.
  • @
    @rahmahsaif63196 years ago Safi sana lusinde hujawai kukosea nakukumbusha kuna wawili wanaoitumia hiyo kauli bashe napekwakweli ss wapiga kura hao sio watu kabisa.
  • @
    @stevenmsaaada.msaada.3896 years ago Wanaokudharau kibajaji wakudharau tu. Lakini umeongea point mno. Nape asijifanye kuzijuwa sana takwimu zach ccm. Aache ushambenga wake. 2
  • @
    @amanabdallah97456 years ago Serikali italipa watoa huduma wake na huku haina hela. Makusanyo ya mwezi ni kwaajili ya mishahara ya wafanyakazi na kuendesha shughuri za serkali.
  • @
    @amanabdallah97456 years ago Ccm inakwenda kufikia mwisho, hata kibajaji anlijua hilo itafikia kipindi ataona aibu mwenyewe.
  • @
    @kassimloav24023 years ago Vionhoz wetu waliopo mjengon kunawasalit na wakina yuda.
  • @
    @floramgaza64016 years ago Hivi huna point yako mpaka umkashifu nape? Mwaka huu ndo mwisho wako wa ubunge wananchi tuna macho.
  • @
    @prosperndonjekwa51436 years ago Wazazi wa wazazi wa kuingusha ccmchama cha pinduzi. 6
  • @
    @stevenmakumburi54606 years ago Nape ameongea ukweli coz yeye ndiye aliyebeba dhamana ya maendeleo katika Jimbo lake hivyo anakila sababu kuzungumza ya moyoni yupo juu