Duration 3:56

NEW MV VICTORIA KUTIA NANGA BANDARI YA BUKOBA JUNE 28/2020

1 099 watched
0
14
Published 26 Jun 2020

Meli ya Mv Victoria inatarajiwa kuanza safari yake ya majaribio june 28 mwaka huu baada ya kusimama kwa muda mrefu ikiwa kwenye matengenezo jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ofisi kwake mkuu wa mkoa wa Kagera Brig.Jen Marco E Gaguti amesema kuwa meli hiyo inarajiwa kutia nanga siku ya jumapili majira ya saa nane mchana katika bandari ya Bukoba ikitokea Mwanza ilikokuwa ikifanyiwa matengenezo makubwa ambapo safari hiyo ya majaribio itakuwa ya kwanza ya umbali mrefu baada ya safari fupi za majaribio kufanyika na kuonekana iko vizuri. Aidha RC Gaguti ametoa wito kwa wanachi kujitokeza kwa wingi siku hiyo ya jumapili bandarini kwa ajiri ya kuja kuipokea meli yao na kuimbea ili iweze kuanza safari zake kama kawaida.

Category

Show more

Comments - 1