Hii ni ibada nzima ya njia ya msalaba, inayoadhimishwa kila Ijumaa katika kipindi cha Kwaresma. Uwapo wake katika mtandao utawasaidia wale wasioweza kuhudhuria kanisani au katika vituo maalumu vya ibada kutokana na maradhi, safari, majukumu ya kimaisha, walioko vitani na hata wafungwa, kushiriki ibada nzima kwa utulivu mkubwa. Mungu awabariki wote