Duration 14:34

Jinsi ya Kujenga Biashara ya Uhakika Online | Mambo 3 ya Kuzingatia

16 517 watched
0
466
Published 5 Oct 2019

Nenda https://onlineprofits.co.tz/bure kupata mafunzo ya BURE kutoka kwetu. Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet au kupitia mitandao ya kijamii (social media), basi unatakiwa kuzingatia mambo haya matatu (3): 1. Tafuta traffic: Hii ni idadi ya watu wanaotakiwa kuona bidhaa/huduma zako kila siku 2. Jenga jukwaa: Hili ni kundi la watu wenye kukujua kukupenda na kuamini. Ukijenga jukwa la namna hii, uuzaji wa bidhaa/huduma unayotoa itakuwa ni jambo rahisi mno. 3. Branding: Branding ni njia itakayokusaidia kujenga biashara ya uhakika kwa kipindi kirefu (long-term business). Bila ya branding utakuwa unauza bidhaa/huduma kitu ambacho kitakuingiza katika ushindani mkubwa sokoni. Tags: Jenga biashara ya uhakika, traffic, jukwaa, branding, mitandao ya kijamii, social media, pata wateja, fanya mauzo, tengeneza pesa, nasa wateja, dr. said, dr. said said,

Category

Show more

Comments - 85