Duration 7:8

UBUNGE ARUSHA: MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU, KUTEULIWA NI KITU KINGINE l AKUTANA NA USHINDANI MKALI..

44 090 watched
0
134
Published 14 Jul 2020

UBUNGE ARUSHA: MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU, "KUTEULIWA NI KITU KINGINE" l AKUTANA NA USHINDANI MKALI.. Baada ya kufunguliwa kwa mchakato wa kuchukua fomu kwa nafasi ya ubunge wagombea wameanza kujitokeza katika ofisi za wilaya Zilizopo Arusha na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hiko kuwapitisha kama wagombea wa ubunge. Vigogo mbali mbali wamejitokeza kuwania nafasi hiyo akiwemo aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 77