Duration 15:15

Magufuli amkaribisha Kikwete UDSM, Ataka Rais amsaidie

72 508 watched
0
185
Published 2 Jun 2016

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameongea kwenye uwekaji wa jiwe la msingi wa maktaba ya UDSM alipokaribishwa na Rais Magufuli na kuelezea changamoto zinazokikabali chuo hicho ikiwemo tatizo la mikopo kwa wanafunzi kwa kutopatikana kwa wakati na baadhi kutopata. Kikwete kasema kashamwandikia Rais changamoto hizo na kumuomba Rais kuzifanyia kazi.

Category

Show more

Comments - 15