Ifahamu kwa undani historia ya rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho kufanya naye kupitia kipindi cha Chill na Sky. Rapper huyo amefariki dunia Jumapili ya January 17, 2021
@amazing_grace53923 years agoHe was so smarthis soul rest in peace.
@
@maxmaizer46313 years agoDaa nimeingia ndn kulia achen. Moyo umeumia sana cpwaa jembe langu umetangulia nyimbo zako ntabaki nazo daima nass tunafata uko ulipo tangulia. 6
@
@omaryomary87503 years agoC pwaa lala salama broo allah akupunguzie adhabu ya kabri ameen. 3
@
@abuuthan87163 years agoMungu akusamehe makosa yako akuruzuku pepo jirani yangu wa muda wote magomeni! 1
@
@ivankivinge29873 years agoRest in peace bro. Umeacha pengo kubwa sana moyoni mwangu. You lived to entertain us. 7
@
@veronicadaniel11223 years agoDah mungu amwangazie mwanga wa milele amina.
@
@kasongosaid25774 months agoSky interviw zako zinakuwaga poa sana kaka.
@
@jamesngimba41883 years agoAha r i p irunga kipndi tuko magomeni mikumi kwa mzee pinda so sad mshikaji. 4
@
@ashooraashoora11803 years agoInnalilah wainnaillah rajiuun mwenyez mungu ampe kauli thabiti yarabiy. 1
@
@mename60203 years agoInnalillah waina illah rajihuon. Allah amswameh mazambi yake na amrehemu. 2
@
@robbemanase90513 years agoDah ina maana his mom kapoteza her only child, its really sad r. I. P. Illu. 5
@
@latriciah01augustino673 years agoInnah lilah wahnailah rajoun. Allah ampe kauli thabiti. 2
@
@peterpaulinuce43163 years agoPumzika kwa aman brother, mbele yako nyuma ye2. 1
@
@mwatumudogo39483 years agoInna lilahi waina ileih rajiun allah ampokee kwa mkono wake wa kulia amsamehe dhambi zake za siri na dhahiri inshallah amueke pema palipo na wema amin. 5
@
@mutahangarwasamwel46433 years agoEzi za uhai ulikua atariii mungu akuleheem br.
@
@samirnaty87743 years agoBonge la interview bro mungu ampe safar njema kauli thabit.
@
@bish_daddiyao3 years agoEastafrica industry will miss you ninjah mola akwondolee mchanga wa macho.
@
@mariamkassim99253 years agoInna lillahi wainna ilayhi raajiun so sad. 4
@
@khalekichambo11313 years agoInna lillahi wa inna ilaiyhi rajiun, laiti tungelijua tarehe ya kifo tusinge panga mambo ya huko mbeleni. Mungu amsamehe makosa yake na alipe mwanga kaburi lake. 2
@
@khadijanjama87213 years agoInna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni kwa msiba.
@victormwansasu70053 years agoR. I. P. Dah. Ngoma la action lilikuwa poa sanaa. 2
@
@youngchua6973 years agoMauti ni mlango kila mmoja atapita katika mlango huo kwa iyo tujipange kuikabili safari hioo. 17
@
@franciskyombo42893 years agoCpwaa kuna namna anachezeaga mic inatoa visauti mana nlimuona tamashani leaders clubhaijalishi upo au haupo.
@
@claudialupimo76143 years agoSikuwahi kukuona wala kukufahamu enzi za uhai wako. Ila nmeona interview na baadhi yawatu walikupost. Nimesikitika na mungu akupokee. Ni njia yetu sote.
@
@aminaathuma31933 years agoR i p sjui ni kwann mnapenda mzik wakat uko vizur shulen. 2
@
@abdurabmsuya72913 years agoDu haya maisha anamuombea mwenzake godzilla leo na yeye tunamuombe pumzika kwa aman cpwaa. 1
@
@jiangjoseph43783 years agoDu alipanga aende kimamataifa du r. I. Cp.
@
@shakilamasoud29833 years agoMaisha ni mafupi sana jamani, apumzike kwa amani. 2
@
@joeboyhk8293 years agoKwani uwa mna ficha interview alafu mna zitoa mtu akisha fariki? 4
@
@hammylove12683 years agoKwann huwa hampost wakiwa hai jmn? Nimeobserv ndio maan nmeongea coz hata marehem mzee jengua mkampost enterview yake baada yakufariki? 4
@
@youngchua6973 years ago Mpemba wa Mwanzo kufika kwa Ali Samatta
@
@loner_wolf3 years agoWewe ilunga ni jina la kisukuma hilo. Mimi hata bila ww kusema nilishahisi utakuwa msukuma. Uliza ilunga ni jina la watu gn utaambiwa ni majina ya kisukuma. 2
Related videos for Ifahamu Historia ya Marehemu Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho:
Mpemba wa Mwanzo kufika kwa Ali Samatta