Duration 6:52

Huyu ni Mwimbaji binafsi wa nyimbo Za dini gospel music anaitwa pastor imani mwasunda

35 watched
0
1
Published 28 Jun 2020

Huyu ni Mwimbaji binafsi wa nyimbo Za dini gospel music anaitwa pastor imani mwasunda fungueni video hii msikilizeni alikuwa akiimba nyimbo yake katika kanisa LA gospel that changes aliimba nyimbo hii tarehe 28 mwezi wa 6 mwaka 2020 kwenye ibada ya kanisa huyu imani mwasunda alialikwa kuimba kanisa lipo maeneo ya ubungo shekilango katika ukumbi wa abnois hall kanisa lipo hapo karibuni Sana watu wote kwenye ibada Za jumapili nyimbo aliyokuwa anaimba inaitwa majeshi ya kuzimu karibuni kusikiliza subscribe channel yetu ya YouTube inaitwa imani mwasunda

Category

Show more

Comments - 0